Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Matokeo ya mechi ya Yanga Vs Coastal Union pale Mkwakwani TANGA…

$
0
0

Ligi Kuu Tanzania Bara imeendelea leo, Timu ya Yanga SC ilikuwa kwenye dimba la Mkwakwani Tanga ambapo wanajangwani hao walikuwa wakichuana na wenyeji wa Tanga, Coastal Union mechi ambayo imeisha muda mfupi uliopita. Katika mechi hiyo dakika 90 zilikamilika pamoja na zile  tatu za nyongeza kwa Yanga kushinda goli 1-0 dhidi ya Coastal Union. #FULLTIME:...

The post Matokeo ya mechi ya Yanga Vs Coastal Union pale Mkwakwani TANGA… appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles