Baada ya Nikki Mbishi kutangaza kuacha muziki, haya ndio maneno ya Chid Benz
Baada ya msanii wa Hip Hop Nikki Mbishi aka Baba Malcom kutangaza kuwa ameacha kufanya kazi ya muziki sasa Chid Benz amekanusha taarifa hizo na kusema kuwa ameshafanya mazungumzo na msanii huyo na...
View ArticleYote makubwa yaliyoandikwa na Magazeti ya Tanzania leo January 3 unaweza...
Ni ahadi yangu kupitia millardayo.com utakuwa ukipata vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headlines mpya kwenye magazeti mbalimbali. Mengi yamesikika, chukua muda wako...
View ArticleRaha iliyoje? Baba na mwana ndani ya gari wakienjoy good music (Video)
Wahenga wanakuambia raha jipe mwenyewe, kama hujacheka tangu kumekucha basi hii itakupa tabasamu, ni baba na mwana ndani ya gari taratiibu wakiendelea na safari yao. Kuna utamaduni wa watu wengi...
View ArticleHizi ni story kubwa tano nilizokuchambulia kutoka kwenye Magazeti ya T’zania...
MWANANCHI Mkazi wa Morogoro Andrew Chimulimuli ametangaza kuuza figo yake kwa kwa kiasi cha sh. Mil 90 ili kukabiliana na ugumu wa maisha na kama akitokea mteja akahitaji kupunguziwa gharama watafanya...
View ArticleChukua na hii ya wachezaji wanaoongoza kwa kutengeneza pasi za magoli Ulaya.
Nyota wa timu ya Olympique Marseile ya ligi ya Ufaransa Dimitri Payet amemzidi kiungo wa Chelsea katika orodha ya wachezaji waliotengeneza nafasi nyingi za wenzao kufunga magoli katika ligi 5 bora za...
View ArticlePicha 12 za Bar moja wapo kati ya zilizoripotiwa kukumbwa na kadhia ya Panya...
millardayo.com ilifika kwenye moja ya sehemu zilizodaiwa kukumbwa na kashikashi ya kundi la Panya Road Dar es salaam January 2 2015 iitwayo Plaza Catalunya ambako Mtangazaji Ephraim Kibonde na wateja...
View ArticleAlichokiandika Staa wa kike baada ya kukumbwa na ishu ya ‘Panya Road’ Jan 2 2015
Miongoni mwa story zilizochukua headline Jan 2 ni kuhusu kikundi cha watu maarufu kama ‘Panya Road’ kilichovamia maeneo mbalimbali, kupora vitu vya thamani na kupiga watu. Staa wa kike wa Bongo Fleva...
View ArticleFahamu tofauti ya timu mbili bora za ligi ya England.
Zikiwa zimechezwa mechi 20 za ligi ya England timu mbili za juu kwenye ligi hiyo zimeonyesha jinsi ambavyo upinzani na ushindani kwenye ligi hii inayopendwa karibu kila kona ya dunia ulivyo wa nguvu....
View ArticleArsenal yaondokewa na mshambuliaji wake.
Klabu ya Arsenal imemruhusu mshambuliaji wake Lukas Podolski kujiunga na mabingwa wa zamani wa ulaya Inter Milan zikiwa zimepita siku chache tangu kocha wa Arsenal Arsene Wenger akanushe taarifa za...
View ArticleHii ndiyo style mpya ya Nywele aliyoamua kuja nayo Joti 2015.
Asilimia kubwa ya mastar wengi wa duniani huwa wanapenda kutengeneza kitu ambacho kitakua tofauti na wengine ili kumtengenezea utambulisho wake popote anapokuwepo. Tumeona style kadhaa za mavazi ambayo...
View ArticleWanaotaka kumnunua Messi waambiwa hivi.
Mshindi wa tuzo ya Mchezaji bora wa dunia mara nne Lionel Messi hataihama klabu yake ya Barcelona kama ilivyoanza uvumishwa kwenye baada ya magazeti barani ulaya baada ya kuthibitisha kuwa ataendelea...
View ArticleUmesoma makubwa yaliyoandikwa na Magazeti ya Tanzania leo Jan 4? Yako hapa
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headlines mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleHizi ni Story muhimu kwenye Magazeti ya leo Tanzania January 4,2015...
MTANZANIA Siku moja baada ya genge la uhalifu la Panya road kutekeleza vitendo vya kihalifu katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam,siri ya mikakati ya kufanya mashambulizi na uendeshaji wa...
View ArticleMsiba mwingine mkubwa Kenya, siku chache baada ya mwaka 2015.
Simanzi kubwa imeikumba familia ya waziri mkuu wa zamani wa Kenya Raila Amolo Odinga baada ya kutoka kwa taarifa ya kifo cha mtoto mkubwa wa mwanasiasa huyo mashuhuri nchini Kenya asubuhi ya leo ....
View ArticleLiverpool kumsainisha mkataba nyota huyu.
Baada ya kuwepo kwa tetesi nyingi zikimhusisha na kuwa mbioni kuihama klabu yake , Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Liverpool Raheem Sterling anatarajiwa kutia saini mkataba mpya utakaomfanya aendelee...
View ArticleManchester City yahusishwa na usajili wa nyota huyu.
Siku chache baada ya kuhusishwa na mpango wa kumsajili mshambuliaji raia wa Ivory Coast Wilfred Bony , mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England Manchester City wametajwa kuongoza mbio za kumsajili...
View ArticleUmesoma makubwa yaliyoandikwa na Magazeti ya Tanzania leo Jan 5? Yako hapa
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headlines mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleSikiliza habari hot zilizochambuliwa kwenye #Powerbreakfast ya Clouds FM leo...
Kama ilivyo kawaida yangu kukuwekea Magazeti yanayosomwa hewani kwenye Radio, leo January 05, nimekuwekea kile kilichosomwa na kuchambuliwa kutoka Magazetini kwenye show ya Power Breakfast ya Clouds...
View ArticleJambazi alivamia Benki, walichomfanyia wapita njia ni kali ya mwaka…
Wizi katika benki ni moja ya uhalifu ambao umekuwa ukijitokeza sana siku hizi hapa Tanzania, ambapo wapo majambazi wengine baada ya kupora pia wamekuwa wakifanya mauaji. Hii ni kali.. Kuna video yenye...
View ArticleMkusanyiko wa Story Muhimu kwenye Magazeti ya leo Tanzania January 5, 2015...
MTANZANIA Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania IPTL chini ya uongozi wa kampuni ya Pan African Power PAP imetangaza kushusha bei ya umeme kwa asilimia 20 baada ya kufanya marekebisho...
View Article