Miongoni mwa story zilizochukua headline Jan 2 ni kuhusu kikundi cha watu maarufu kama ‘Panya Road’ kilichovamia maeneo mbalimbali, kupora vitu vya thamani na kupiga watu. Staa wa kike wa Bongo Fleva Rehema Chalamila aka Ray C kupitia instagram amethibitisha kuwepo kwa kikundi hicho cha uhalifu na kuandika ‘Sina hamu na hawa panya road, jana nilikuwa...
The post Alichokiandika Staa wa kike baada ya kukumbwa na ishu ya ‘Panya Road’ Jan 2 2015 appeared first on TZA_MillardAyo.