MTANZANIA Siku moja baada ya genge la uhalifu la Panya road kutekeleza vitendo vya kihalifu katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam,siri ya mikakati ya kufanya mashambulizi na uendeshaji wa genge hilo sasa zimebainika. Uchunguzi umebainika kuwa genge hilo linaongozwa na watu wenye utaalamu wa fani mbalimbali ambao kwa sababu ya kukosa ajira...
The post Hizi ni Story muhimu kwenye Magazeti ya leo Tanzania January 4,2015 Nimekuwekea hapa mtu wangu appeared first on TZA_MillardAyo.