Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461
↧

Manchester City yahusishwa na usajili wa nyota huyu.

$
0
0

Siku chache baada ya kuhusishwa na mpango wa kumsajili mshambuliaji raia wa Ivory Coast Wilfred Bony , mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England Manchester City wametajwa kuongoza mbio za kumsajili kiungo wa Everton Ross Barkley na klabu hiyo imeandaa oa ambayo ina uhakika kuwa haitakumbana na kikwazo chocote toka Everton na kwa mchezaji mwenyewe...

The post Manchester City yahusishwa na usajili wa nyota huyu. appeared first on TZA_MillardAyo.

↧

Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles