Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Hizi ni story kubwa tano nilizokuchambulia kutoka kwenye Magazeti ya T’zania leo Jan 03

$
0
0

MWANANCHI Mkazi wa Morogoro Andrew Chimulimuli ametangaza kuuza figo yake kwa kwa kiasi cha sh. Mil 90 ili kukabiliana na ugumu wa maisha na kama akitokea mteja akahitaji kupunguziwa gharama watafanya mazungumzo. “Nimeamua kujitolea nafsi yangu ili nisaidie familia yangu kwa sababu mimi si kitu kama sina fedha, ndiyo maana nimejitolea kutoa figo yangu nipate...

The post Hizi ni story kubwa tano nilizokuchambulia kutoka kwenye Magazeti ya T’zania leo Jan 03 appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles