Nyota wa timu ya Olympique Marseile ya ligi ya Ufaransa Dimitri Payet amemzidi kiungo wa Chelsea katika orodha ya wachezaji waliotengeneza nafasi nyingi za wenzao kufunga magoli katika ligi 5 bora za Ulaya. Tangu Cesc Fabregas ajiunge na Chelsea akitokea Barcelona mwanzoni mwa msimu huu ameweza kuwa kinara wa kutengeneza mabao kwa wenzie akiwa ametoa...
The post Chukua na hii ya wachezaji wanaoongoza kwa kutengeneza pasi za magoli Ulaya. appeared first on TZA_MillardAyo.