Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Arsenal yaondokewa na mshambuliaji wake.

$
0
0

Klabu ya Arsenal imemruhusu mshambuliaji wake Lukas Podolski kujiunga na mabingwa wa zamani wa ulaya Inter Milan zikiwa zimepita siku chache tangu kocha wa Arsenal Arsene Wenger akanushe taarifa za mshambuliaji huyo kuondoka. Podolski anajiunga na Inter baada ya kushindwa kupata nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha Arsenal ambapo mara nyingi amejikuta akiwa mshambuliaji wa...

The post Arsenal yaondokewa na mshambuliaji wake. appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles