Nakukutanisha na mapacha wasio na birthday moja.
Kwa kawaida mapacha wanazaliwa siku moja wakiwa wametofautiana muda mfupi sana na mara nyingi huwa inakuwa ni sekunde au dakika toka wakati anapozaliwa mmoja mpaka wakati anakozaliwa mwingine na hii ni...
View ArticleSafari hii ni wanne waliotolewa #BBA_Hotshots, Unajua kura zinamuweka kwenye...
Siku ya 56 ripoti ikufikie kutoka ndani ya jumba la Big Brother Africa #BBA9_Hotshots kwamba November 30 2014 ni washiriki wengine wametolewa kwenye jumba hilo na kufanya game iendelee kunoga…………....
View ArticleUnazitaka stori za AyoTV? Dokii amzungumzia aliemloga, gari la Peter Msechu,...
AyoTV imeanza kukuletea #StorizaAyoTV ambazo ni dakika chache zenye mkusanyiko wa habari au matukio mbalimbali yanayotokea kwenye kona mbalimbali pamoja na mahojiano na mastaa mbalimbali kwenye...
View ArticleZawadi ya gari kwenye birthday sio bongo tu, Lil Wayne kampa mwanae haya mawili
Mtandao wa TMZ umeripoti kwamba mtoto huyu wa miaka 16 wa hiphop staa wa kitambo duniani, Lil Wyne….. Reginae Carter anaweza kuweka stika kwenye gari lake aina ya BMW alilozawadia ikisoma >>>...
View ArticleMajibu ya Aunt Ezekiel baada ya kuulizwa kuhusu Diamond na Zari pamoja na...
Kwenye U Heard ya leo Decemba 01 2014 Gossip Cop Soudy Brown ameongea na mwigizaji Aunt Ezekiel kuhusu ishu mbili tofauti ambapo ya kwanza ni kuhusu rafiki yake Wema kama amewahi kumwambia chanzo cha...
View Article255 ya Kwenye XXL ya leo Desemba 01 iko hapa.
Katika story za 255 ambazo Miss Info Dee Andy ametoa taarifa kuhusu uwakilishi mzuri alioufanya msanii Diamond Platnumz kwenye tuzo za CHOAMVA Afrika Kusini baada ya kupata ushindi wa tuzo tatu, rekodi...
View ArticleUmeipata hii ya Bomu kulipuka Gerezani?
Zimekuwa zikisikika taarifa kwamba kumekuwa na milipuko mingi Nigeria kutokana na mashambulizi yanayofanywa mara kwa mara na vikosi mbalimbali vya wapiganaji. Taarifa zilizoripotiwa kutoka nchini humo...
View ArticleLeo ndiyo siku ambayo Mahakama ilipanga kusikiliza kesi ya Chid Benz…
Leo Desemba 01 ilikuwa siku ambayo ilipangwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam kwa ajili ya kusikilizwa kesi ya kukutwa na dawa za kulevya inayomkabili msanii Chid Benz. Kesi hiyo...
View ArticleTuzo ya Ballon d’OR kwa hawa hapa.
Orodha ya wachezaji watatu waliongia kwenye fainali ya kuwania tuzo ya Ballon’Dor inayotolewa kwa mchezaji bora wa dunia imetajwa hii leo . Orodha hiyo imewajumuisha wachezaji watatu ambao ni nahodha...
View ArticleMchezaji bora wa Afrika huyu hapa .
Kituo cha habari cha Uingereza BBC kimemtaja nyota wa timu ya taifa ya Algeria Yacine Brahimi kuwa mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka 2014. Brahimi ambaye anachezea klabu ya Ureno ya Fc Porto anakuwa...
View ArticleThierry Henry kurudi Arsenal?
Nyota wa zamani wa Arsenal Thierry Henry ameiaga timu yake ya New York Red Bulls aliyokuwa anaichezea baada ya mkataba wake kuisha . Henry ameichezea Red Bulls kwa muda wa miaka minne na nusu na...
View ArticlePicha za gari ya David Beckham baada ya ajali .
Moja kati ya story zilizoshtua wapenda michezo nchini England mwishoni mwa wiki hii ni ajali ambayo aliipata nyota wa zamani wa Manchester United na Real Madrid pamoja na timu ya taifa ya England David...
View ArticleKuhusu mkataba wa Gerard , stori hii hapa.
Baada ya kuwepo kwa uvumi kuhusiana na mustakabali wa muda mrefu wa nahodha wa klabu ya Liverpool hatimaye uongozi wa klabu hiyo umeibuka na kumpa ofa ya kumuongezea star huyo mkataba . Gerard kimsingi...
View ArticlePost ya Instagram ya @jchameleone kuhusu Idris, mwakilishi wa Tz ndani ya Big...
Love ya nguvu ambayo ipo kwa watu wa East Africa inaendelea kujidhihirisha ambapo siku ya leo staa wa Muziki kutoka Uganda, Jose Chameleone amekuwa moja ya mastaa kutoka nje ya Tz ambao wameonyesha...
View ArticleUjumbe wa Meya wa Ilala Jerry Silaa kwa wanaume wote kwenye maadhimisho ya...
Leo Desemba 01 ni siku ya maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani ambapo Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa amehudhuria maadhimisho hayo yaliyoadhimishwa na Manispaa ya Ilala kwenye kata ya...
View ArticleHuyu ni wa pili kunaswa na kamera akimpiga mtoto…
Kwa wale wazazi ambao ni wanajishughulisha na kazi mbalimbali hivyo kujikuta wakilazimika kutafuta wasichana wa kazi ili wawasaidie majukumu ya kubaki na watoto nyumbani, mshtuko mkubwa Duniani...
View ArticleHii ni kuhusu matokeo ya zoezi la upimaji wa kilevi kwa madereva wa mabasi...
Lile zoezi ambalo lilianzishwa na Jeshi la Polisi Tanzania kukagua madereva wanaoendesha mabasi ya abiria kwenda mikoani kama wanatumia kilevi leo limefanyika kwa ghafla katika Kituo cha Mabasi cha...
View ArticleKama ulikuwa mbali na TV yako leo, hizi ni habari kubwa mbili zilizoripotiwa...
Katika taarifa kubwa mbili zilizoripotiwa na kituo cha ITV kwenye habari za saa siku ya leo Desemba 02, ni kuhusu kile kilichosemwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya PAC na Dk. Khamis Kigwangala...
View ArticleMapokezi ya Diamond Platnumz 88.5 Dar es salaam Dec 02.
Diamond Platnumz ameingia Dar es salaam Tanzania leo Dec 02 akiwa na tuzo zake 3 alizozipata kutoka Channel O ambapo Watanzania wamejikusanya barabarani kutoka Airpot mpaka mitaa aliyokuwa amepita....
View ArticleBondia mstaafu, bado ni maarufu sana. Hapa kuna Selfie yake ya kwanza mtu wangu…
Huenda isiwe taarifa kubwa sana lakini ikakufurahisha kwa namna fulani, wale wapenzi wa mchezo wa ngumi ama ndondi, hii inahusu upande huo ambapo kwa mara ya kwanza jamaa ambaye dunia yote inamtambua...
View Article