Orodha ya wachezaji watatu waliongia kwenye fainali ya kuwania tuzo ya Ballon’Dor inayotolewa kwa mchezaji bora wa dunia imetajwa hii leo . Orodha hiyo imewajumuisha wachezaji watatu ambao ni nahodha wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo , nahodha wa timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi, na Kipa wa timu ya taifa ya...
The post Tuzo ya Ballon d’OR kwa hawa hapa. appeared first on TZA_MillardAyo.