Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Leo ndiyo siku ambayo Mahakama ilipanga kusikiliza kesi ya Chid Benz…

$
0
0

Leo Desemba 01 ilikuwa siku ambayo ilipangwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam kwa ajili ya kusikilizwa kesi ya kukutwa na dawa za kulevya inayomkabili msanii Chid Benz. Kesi hiyo imeahirishwa kwa mara nyingine tena kutokana na ushahidi wa upelelezi kutokukamilika ambapo kesi hiyo imesogezwa mbele mpaka Desemba 04 mwaka huu. Hata...

The post Leo ndiyo siku ambayo Mahakama ilipanga kusikiliza kesi ya Chid Benz… appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles