Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461
↧

Mapokezi ya Diamond Platnumz 88.5 Dar es salaam Dec 02.

$
0
0

Diamond Platnumz ameingia Dar es salaam Tanzania leo Dec 02 akiwa na tuzo zake 3 alizozipata kutoka Channel O ambapo Watanzania wamejikusanya barabarani kutoka Airpot mpaka mitaa aliyokuwa amepita. Msafara ulipotoka Airpot umepitia Buguruni mpaka Kariakoo ambapo ulipofika Kariakoo ilibidi Jeshi la Polisi liingilie kati ili kupunguza foleni ya watu waliokuwa wakitaka kumshika mkono Diamond....

The post Mapokezi ya Diamond Platnumz 88.5 Dar es salaam Dec 02. appeared first on TZA_MillardAyo.

↧

Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles