Katika taarifa kubwa mbili zilizoripotiwa na kituo cha ITV kwenye habari za saa siku ya leo Desemba 02, ni kuhusu kile kilichosemwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya PAC na Dk. Khamis Kigwangala kuhusiana na wananchi kukosa imani na Serikali na habari nyingine ni kuhusu Kikao cha Bunge la Vijana Dodoma. Dk. Kigwangwala: Wananchi wanakosa...
The post Kama ulikuwa mbali na TV yako leo, hizi ni habari kubwa mbili zilizoripotiwa na kituo cha ITV appeared first on TZA_MillardAyo.