Simba yaipiga bao Yanga kwa Sserunkuma – mchezaji huyu atoswa
Baada ya tetesi za takribani mwezi mzima kuhusu usajili wa mfungaji bora wa ligi mfungaji bora wa Ligi ya Kenya Danny Sserunkuma, hatimaye klabu ya Simba imefanikiwa kumsajili mchezaji huyo na kuwazidi...
View ArticleSauti Sol wameandika kwenye ukurasa wa Facebook kuhusu ule wimbo wao ambao...
Kundi la wanamuziki kutoka Kenya ambao wamekuwa wakiiwakilisha vizuri East Africa kwenye level za Kimataifa, kwa mara nyingine tena wameandika kwenye ukurasa wa Facebook kuhusiana na video ya wimbo...
View ArticleStori za Facebook,Twitter,Instagram za Desemba 2 ziko hapa
Kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi na chochote ndio maana natumia muda wangu kukusanyia matukio mbalimbali kuanzia Ofisini,Barabarani,Mitaani mpaka kwenye Mitandao kama hii ya leo. Nasema hiviiii! Mtu...
View ArticleKutoka Escape 1 kwenye Press Conference ya Diamond Platnumz baada ya kuingia...
Waandishi wa habari,mashabiki na wadau wa muziki jioni ya Dec 02 walipata nafasi ya kuuliza maswali mbalimbali kwa Diamond Platnumz ambaye ameingia mchana wa leo na kutoa nafasi hiyo jioni. Miongoni...
View ArticleEPL: Matokeo ya Manchester United vs Stoke City haya hapa
</ Ratiba ya ligi kuu ya England imeendelea leo kwa michezo kadhaa kupigwa usiku wa leo katika viwanja tofauti nchini Uingereza. Wakitoka kupata ushindi wao dhidi Hull City, Manchester United leo...
View ArticleEPL: Matokeo ya Liverpool dhidi ya Leicester City nimekuwekea hapa
Baada ya mfululizo wa matokeo yasiyoridhisha katika michuano ya ndani na nje ya nchi yao – klabu ya Liverpool leo imejitupa uwanjani kucheza na timu iliyowapa kipigo kizito Man United – klabu ya...
View ArticleDesemba 03, haya ndiyo makubwa yaliyoandikwa na Magazeti ya Tanzania leo.
Kwa mara nyingine tena, leo Desemba 03 millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote, kuna headlines mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye...
View ArticleMaamuzi ya Rais Kenyatta kwa Mawaziri wake kufuatia kuendelea kwa...
Baada ya nchi hiyo kuelemewa na mashambulizi mara kwa mara na shinikizo la wananchi Rais Uhuru Kenyatta amemwachisha kazi Waziri wa Usalama Joseph Ole Lenku na kumteua Waziri mpya wa Usalama Joseph...
View ArticleNimekurekodia Magazeti yakisomwa hewani Leo Desemba 03, kupitia #PowerBreakfast
Kama ulikuwa busy ukashindwa kusikiliza Redio wakati Magazeti yakisomwa hewani asubuhi ya leo Desemba 03 kupitia kipindi cha Power Breakfast, yapo hapa. Taarifa zilizochukua uzito wa juu kwenye...
View ArticleKwa wale fans wa nguvu wa Amini, ameiandaa hii kwa ajili yako…
Wiki chache tangu atangaze kutoka THT na kuanza kusimamiwa kazi zake za kimuziki chini ya uongozi mwingine, msanii Amini ametangaza zawadi ya video mpya ambayo anawaletea mashabiki wake. Zawadi hiyo...
View ArticleKama ulisikia kuhusu yale mauaji ya Wanawake Dar es salaam, kuna hii taarifa...
Kama ulisikia kuhusu mauji ya Wanawake mbalimbali kwenye jiji la Dar es salaam utakua ulitamani kujua wanaohusika manake stori zilikua zinaripotiwa tu na taarifa zinazoambatana nazo ni kwamba uchunguzi...
View ArticlePicha 19 za jinsi Diamond Platnumz alivyopokelewa Dar es salaam, mpaka Polisi...
Baadhi ya mastaa wa Afrika walioona mapokezi ya Diamond Dar es salaam wamependa sana upendo wa Watanzania kujitokeza kumpokea Platnumz baada ya kushinda tuzo tatu za Channel O 2014 zilizotolewa...
View ArticleNi Rihanna… Hii ngumi kwa Paparazzi ni bahati mbaya au makusudi?
Moja ya watu walioweka comment zao baada ya kuiona video hii amesema hivi; “…Anyway, tusimhukumu mara zote kwenye njia negative kutokana na namna tulivyomzoea, huenda hakuwa kwenye mood…“ Kitendo...
View ArticleBaada ya kuona mapokezi ya Diamond Dar, rapper AKA wa South Africa kayasema haya
AKA ni rapper maarufu kutoka Afrika Kusini ambae alishinda tuzo moja kwenye tuzo za Channel O 2014 hapa Johannesburg Afrika Kusini ambako Diamond alishinda tuzo tatu kwa mkupuo. Baada ya kuziona picha...
View ArticleNimekuwekea hapa mkusanyiko wa zile story kubwa kutoka kwenye Magazeti yote...
MWANANCHI Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba amesema wizi wa bilioni 306 kwenye akaunti ya Escrow ni matokeo ya nchi kuwa na Katiba isiyo na vifungu...
View ArticleHekaheka ya Desemba 3 nimekurekodia iko hapa unaweza kuisikiliza
Hekaheka ya leo imetoka Kunduchi, ambapo mama mmoja amesema alikuwa na mtoto ambaye aliumwa Malaria, baada ya kumuuguza muda mfupi baadaye akafariki ambapo ajabu yake baadaye alikuwa akisikia sauti ya...
View ArticleUlipitwa na 255 ya leo Desemba 3? Nimeirekodi na nimekuwekea hapa.
Story ya kwanza kusikika leo kwenye 255 ni baada ya kutumikia kifungo cha miezi sita jela Rapa kutoka Philadelphia Meek Mill yuko mtaani toka jana ambapo alidondosha bonge la party mtaani kwake, ambapo...
View ArticleMakundi ya Afcon 2015 haya hapa.
Timu 16 zilizofuzu kushiriki michuano ya kombe la mataifa ya Afrika mwaka 2015 huko Equatorial Guinea zimepangwa katika makundi manne usiku huu katika hafla ya upangaji makundi iliyofanyika jijini...
View ArticleMatokeo ya mechi za Ligi kuu ya England .
Ligi kuu ya England imeendelea usiku huu kwa michezo mine iliyozikutanisha timu nane za ligi hiyo . Kwenye uwanja wa Emirates , Arsenal waliweza kushinda mchezo wao wa pili mfululizo baada ya kuwafunga...
View ArticleMagazeti ya leo Desemba 4 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View Article