Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Sauti Sol wameandika kwenye ukurasa wa Facebook kuhusu ule wimbo wao ambao ulizuiwa kurushwa kwenye TV

$
0
0

Kundi la wanamuziki kutoka Kenya ambao wamekuwa wakiiwakilisha vizuri East  Africa kwenye level za Kimataifa, kwa mara nyingine tena wameandika kwenye ukurasa wa Facebook kuhusiana na video ya wimbo wao ambao ulipigwa marufuku kurushwa hewani kwenye vituo vya television Kenya. Katika ujumbe huo ulioandikwa na wanamuziki hao wameonyesha kushukuru kwa support ya nguvu ya mashabiki...

The post Sauti Sol wameandika kwenye ukurasa wa Facebook kuhusu ule wimbo wao ambao ulizuiwa kurushwa kwenye TV appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles