Baada ya tetesi za takribani mwezi mzima kuhusu usajili wa mfungaji bora wa ligi mfungaji bora wa Ligi ya Kenya Danny Sserunkuma, hatimaye klabu ya Simba imefanikiwa kumsajili mchezaji huyo na kuwazidi mbio wapinzani wao Yanga huku ikisitisha mkataba wa mchezaji wao mmoja wa kimataifa. Kwa mujibu wa Makamu mwenyekiti wa Simba Godfrey Nyange, Jumatano...
The post Simba yaipiga bao Yanga kwa Sserunkuma – mchezaji huyu atoswa appeared first on TZA_MillardAyo.