</ Ratiba ya ligi kuu ya England imeendelea leo kwa michezo kadhaa kupigwa usiku wa leo katika viwanja tofauti nchini Uingereza. Wakitoka kupata ushindi wao dhidi Hull City, Manchester United leo iliwakaribisha Stoke City kwenye uwanja wao Old Trafford katika mechi ambayo imeisha hivi punde. Matokeo ya mechi hiyo ni ushindi wa 2-1 kwa vijana...
The post EPL: Matokeo ya Manchester United vs Stoke City haya hapa appeared first on TZA_MillardAyo.