Kama ulikuwa busy ukashindwa kusikiliza Redio wakati Magazeti yakisomwa hewani asubuhi ya leo Desemba 03 kupitia kipindi cha Power Breakfast, yapo hapa. Taarifa zilizochukua uzito wa juu kwenye Magazeti ya Leo ni pamoja na walichokizungumza Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema ikiwa siku chache tangu...
The post Nimekurekodia Magazeti yakisomwa hewani Leo Desemba 03, kupitia #PowerBreakfast appeared first on TZA_MillardAyo.