Mtandao wa TMZ umeripoti kwamba mtoto huyu wa miaka 16 wa hiphop staa wa kitambo duniani, Lil Wyne….. Reginae Carter anaweza kuweka stika kwenye gari lake aina ya BMW alilozawadia ikisoma >>> ‘gari langu jingine ni Ferrari‘ Sherehe ya kutimiza kwake miaka 16 ilifanyika Atlanta Marekani ikiambatana na tamasha dogo ambalo Nicki Minaj aliimba “Moment...
The post Zawadi ya gari kwenye birthday sio bongo tu, Lil Wayne kampa mwanae haya mawili appeared first on TZA_MillardAyo.