#Breaking: Chid Benz kakamatwa na Polisi Airport
Najua kama umekua karibu na simu yako leo mitandao ya kijamii hasa Whatsap na twitter inaweza kuwa imetumika kukufikishia Taarifa zilizoanza kuzungumziwa na watu mbalimbali saa kadhaa zilizopita kwamba...
View ArticleUpasuaji wa maumbile wapelekea mwanamke kufariki
Mwanamke mmoja amefariki wakati akifanyiwa upasuaji wa kurekebisha maumbile. Mwanamke huyo raia wa Uingereza mwenye umri wa miaka 24 amefariki nchini Thailand alikokwenda kufanyiwa upasuaji huo, ambapo...
View ArticleBreaking: Polisi wamezungumza kuhusu Chidi Benz kukamatwa Airport leo na dawa...
Kuna taarifa zilitoka on millardayo.com leo jioni kuhusu msanii wa muziki wa kizazi kipya Chidi Benz kukamatwa na dawa za kulevya katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam...
View ArticleMagazeti ya leo October 25 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleStori 8 Kubwa Magazeti ya Leo October25
MWANANCHI Vigogo wizara ya kilimo, chakula na ushirika akiwamo Katibu mkuu Sophia Kaduma, wametimuliwa mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) baada ya kutoa majibu...
View ArticleMwanamke aliyejinusuru kubakwa na kumuua mbakaji, ahukumiwa kunyongwa.
Reyhaneh Jabbari mwenye umri wa miaka 26 amehukumiwa kunyongwa baada ya kukutwa na hatia ya kumuua mtu mmoja ambaye alifanya jaribio la kumbaka. Taarifa iliyoripotiwa na CNN inasema mwanamke huyo...
View ArticleFull Time ya mechi za leo October 25 Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara.
Ulikua mbali na TV leo? ulitamani kupata matokeo kujua kwenye viwanja mbalimbali vya Tanzania imekuaje baada ya wakali wa soka kukutana? matokeo ndio haya Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia...
View ArticleUmesikia story inayohusu Mbunge kurushiana risasi na mtoto wake? Isome habari...
Taarifa zilizoenea mitandaoni saa chache zilizopita, zinahusiana na tukio la kurushiana risasi baina ya aliyekuwa Naibu Waziri wa zamani wa Afya na Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki Dk. Lucy Nkya na...
View ArticleUpendo ulivyosambazwa kwenye Fiesta Kigoma October 25 2014
Ilikua ni zamu ya Kigoma ( 89.3 CloudsFM) kusambaziwa upendo wa tamasha la Fiesta ambalo mwaka huu wa 2014 limefanyika kwenye miji 18 ambapo Kigoma na Mtwara ndio imekua miji ya mwisho kulishuhudia...
View ArticleHuyu ndiye mwanariadha aliyefariki kwa ajali
Mbulaine Mulaudzi ambaye alikuwa mwanariadha mahiri nchini Afrika Kusini amefariki kwa ajali akiwa safarini kuelekea Johannesburg kushiriki kikao cha wanariadha. Rais wa chama cha kimataifa cha riadha...
View ArticleMarekani yawawekea ngumu madaktari wanaotoka Afrika Magharibi.
Baada ya kugundulika Dk. Craig Spencer (33) daktari aliyekuwa akihudumia wagonjwa wa Ebola Guinea ana maambukizi ya ugonjwa huo baada ya kurejea Marekani, nchi hiyo imeweka utaratibu maalum kwa...
View ArticleMagazeti ya leo October 26 2014, Michezo na Hardnews
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleUmesikia story ya uwanja wa ndege kupata tatizo la IT? Isome hapa.
Imetokea mara nyingi kusikia Watanzania wakilalamika masuala mbali mbali, mfano ni huu. Unakumbuka ni mara ngapi unahitaji kutoa pesa ATM na ukakuta haiifanyi kazi kutokana na tatizo la Network? Au...
View ArticlePichaz 45 kutoka kwenye Tamasha la ‘siku ya Msanii’ ziko hapa tayari……..
Usiku wa Oct 25 kumefanyika tamasha kubwa la wasanii liitwalo SIKU YA MSANII,kwenye ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam.Katika tamasha hilo lilipata mgeni rasmi ambaye alikuwa ni makamu wa Rais wa...
View ArticleStory 6 Hot kutoka kwenye Magazeti ya leo October26
MWANANCHI Waziri wa zamani wa Nishati na Madini Willium Ngeleja amesema mgawo wa umeme ulioikumba nchi wakati wa uongozi wake ulimpa wakati mgumu na kufanya akose usingizi. Alisema kukosa usingizi...
View ArticleUmesikia kuhusu ‘Karantini’ ya Marekani kulinganishwa na jela? Stori iko hapa
Saa chache baada ya New York na New Jersey kutangaza utaratibu mpya wa kuwaweka karantini wauguzi waliotoka nchi za ukanda wa Afrika Magharibi, muuguzi mmoja ambaye amewekwa karantini New Jersey...
View ArticleHii ni taarifa kuhusiana na Ebola kupiga hodi nchi nyingine nje ya Afrika.
Taarifa kutoka Australia zinasema mtu mmoja amewekwa katika uangalizi maalumu akifanyiwa vipimo ambapo taarifa za awali zimesema kuwa mgonjwa huyo ana homa na dalili za maambukizi ya Ebola. Mtu huyo...
View ArticleHivi ndivyo Sokwe huyu mwenye miaka 40 amesherehekea siku ya kuzaliwa.
Stori kutoka Uingereza nimekutana nayo mtandaoni mtu wangu wa nguvu, na kama ilivyo kawaida yangu, nafanya kushare na wewe kama hivi. Na stori hii inamhusu sokwe mmoja ambaye amepewa jina la Zaire,...
View ArticleHuyu ndiye Rais mwanamke aliyeshinda kiti cha Urais kwa mara ya pili.
Mwanamke wa kwanza kushika wadhifa wa urais nchini Brazil 2011, Diana Rousseff amechaguliwa tena kushika wadhifa huo katika uchaguzi mkuu uliofanyika siku ya Jumapili Oktoba 25 nchini humo. Baada ya...
View ArticleHawa ndio washiriki wengine waliotoka Big Brother….
Matumaini ambayo wengi wetu tulikuwa nayo kumuona mshiriki wa kutoka Afrika Mashariki ndani ya jumba la Big Brother Africa kuibuka na ushindi, yameshuka kwa kiasi kikubwa baada ya washiriki kutoka nchi...
View Article