Mwanamke wa kwanza kushika wadhifa wa urais nchini Brazil 2011, Diana Rousseff amechaguliwa tena kushika wadhifa huo katika uchaguzi mkuu uliofanyika siku ya Jumapili Oktoba 25 nchini humo. Baada ya kutangazwa kushinda katika kinyang’anyiro hicho, Rousseff mwenye umri wa miaka 66 amesema anahitaji kufanya vizuri katika awamu hii ya uongozi wake huku akisifia jitihada zake...
The post Huyu ndiye Rais mwanamke aliyeshinda kiti cha Urais kwa mara ya pili. appeared first on TZA_MillardAyo.