Imetokea mara nyingi kusikia Watanzania wakilalamika masuala mbali mbali, mfano ni huu. Unakumbuka ni mara ngapi unahitaji kutoa pesa ATM na ukakuta haiifanyi kazi kutokana na tatizo la Network? Au unakumbuka ni mara ngapi unapiga simu halafu unajibiwa namba haipatikani? Sasa story ni kwamba hayo mambo ya ‘system failure’ au matatizo ya mtandao hata Ulaya...
The post Umesikia story ya uwanja wa ndege kupata tatizo la IT? Isome hapa. appeared first on TZA_MillardAyo.