Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

#Breaking: Chid Benz kakamatwa na Polisi Airport

$
0
0

Najua kama umekua karibu na simu yako leo mitandao ya kijamii hasa Whatsap na twitter inaweza kuwa imetumika kukufikishia Taarifa zilizoanza kuzungumziwa na watu mbalimbali saa kadhaa zilizopita kwamba msanii Chid Benz amekamatwa na Polisi. Taarifa zinasema kakamatwa na Polisi kwenye uwanja wa ndege Dar es salaam akiwa anaelekea Mbeya na hiyo imetokea baada ya...

The post #Breaking: Chid Benz kakamatwa na Polisi Airport appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles