Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Upendo ulivyosambazwa kwenye Fiesta Kigoma October 25 2014

$
0
0

Ilikua ni zamu ya Kigoma ( 89.3 CloudsFM) kusambaziwa upendo wa tamasha la Fiesta ambalo mwaka huu wa 2014 limefanyika kwenye miji 18 ambapo Kigoma na Mtwara ndio imekua miji ya mwisho kulishuhudia likiongozwa na Linah, Madee, T.I.D, Stamina, Rachel, Ali Kiba, Linex, Baba Levo, Mr. Blue, Chege na Makomando.

The post Upendo ulivyosambazwa kwenye Fiesta Kigoma October 25 2014 appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles