Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Hii ni taarifa kuhusiana na Ebola kupiga hodi nchi nyingine nje ya Afrika.

$
0
0

Taarifa kutoka Australia zinasema mtu mmoja amewekwa katika uangalizi maalumu akifanyiwa vipimo ambapo taarifa za awali zimesema kuwa mgonjwa huyo ana homa na dalili za maambukizi ya Ebola. Mtu huyo mwenye umri wa miaka 18 amewasili Australia akitokea Guinea siku 11 zilizopita akiwa ameongozana na ndugu zake 8 ambapo walimuweka katika karantini ya nyumbani na...

The post Hii ni taarifa kuhusiana na Ebola kupiga hodi nchi nyingine nje ya Afrika. appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles