Sikiliza wimbo mpya wa Diamond Platnumz – Mdogo Mdogo.
Miezi kadhaa iliripotiwa kuvuja kwa wimbo huu ambao uko kitofauti kidogo na aina ya muziki anaoufanya Diamond Platnumz,huu ni umeshakamilika na ameutoa kwa ajili yako unaitwa Mdogo Mdogo. Bonyeza play...
View ArticleFull time ya Brazil vs Croatia. Matokeo na wafungaji haya hapa
Hatimaye baada ya subira ya miaka minne, wapenzi wa soka ulimwenguni kote leo wamepata ladha ya fainali za michuano ya kombe la dunia. Mchezo wa ufunguzi ulichezwa leo baina ya wenyeji Brazil dhidi ya...
View ArticleKurasa za mwanzo na mwisho Magazetini leo June 13 2014
JU Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews...
View ArticleNyumba aliyojenga msanii Ney wa Mitego, anahamia leo.
Msanii Ney wa Mitego ameingia katika Headlines chache za Wasaniii waliojenga nyumba na kuhamia mwaka 2014. Ungependa stori kama hizi zisikupite na zikufikie wakati wowote? niko tayari kukutumia wakati...
View ArticleFamilia za waliopotea kwenye ndege ya Malaysia wapozwa, waanza kulipwa fidia.
Familia za abiria waliopotea na ndege ya Malaysia wameanza kupokea malipo ya awali ya fidia ya dola elfu 50 kila mmoja. Mpaka sasa, Familia sita kutoka Malaysia na moja ya China wamepokea fedha hizo na...
View ArticleBaada ya miezi tisa ya kubeba mimba, mwanamke ajifungua mjusi.
Mwanamke mmoja nchini Indonesia amejifungua mjusi badala ya mtoto. Mwanamke huyo Debi Nubatonis, mwenye umri wa miaka 31, ameanza kupata vitisho kutoka kwa kundi la vijana kutokana na kitendo hicho...
View ArticleHii hapa taarifa ya Marekani ikiituhumu Sudan kushambulia raia wake.
Marekani imeituhumu Sudan kwa kufanya mashambulio dhidi ya raia wake katika majimbo ya Kordofan kusini na Blue Nile . Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa , Samantha Power amelaani mashambulio...
View ArticleMwigizaji Harrison Ford apata ajali akirekodi filamu.
Mcheza filamu mkongwe wa nchini Marekani Harrison Ford anapatiwa matibabu hospitalini kutokana na majeraha aliyopata wakati akirekodi filamu yake mpya inayokwenda kwa jina la Star Wars. Harrison Ford...
View ArticleWiz Kid na Chris Brown waingia studio pamoja.
Inaonekana kuwa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria yupo jikoni akitengeneza wimbo pamoja na Chris Brown kutoka nchini Marekani. Kupitia Instagram WizKid ameweka picha hii akiwa na Chris Brown na...
View ArticleHii noma! Mfanyabiashara tajiri wa China ashtakiwa kwa kula nyama ya Chui...
Mfanyabiashara mmoja tajiri raia wa China amekutwa na hatia ya kula Chui watatu ambapo amekiri kufanya kitendo hicho. Mwanaume huyo aliyejulikana kwa jina moja la Xu kutoka Kusini Magharibi mwa Jimbo...
View ArticleNguruwe mwenye akili, Ona alivyotoroka kuepuka kuchinjwa.
Nguruwe huyu mdogo hakuwa na nia kabisa ya kufika sokoni kwa ajili ya kuuzwa na kuchinjwa na badala yake akaamua kutumia mbinu mbadala kutoroka kutoka kwenye gari iliyokuwa inatembea. Nguruwe huyo...
View ArticleFull time ya Spain vs Holland – matokeo na wafungaji haya hapa
Michuano ya kombe la dunia imezidi kushika kasi kwa michezo miwili iliyopigwa leo. Mchezo wa kwanza leo hii ulikuwa kati ya wawakilishi wa Afrika Cameroon dhidi ya Mexico, na wamexico wakaondoka na...
View ArticlePicha 4 za Uwanja wa Jamuhuri Dodoma usiku huu tayari kwa shughuli.
Pale ambapo mastaa zaidi ya 100 wa Tanzania kwenye muziki na filamu pamoja na sehemu nyingine wamesafiri kutoka 88.5 Dar es salaam mpaka 104.4 Dodoma na kuziunganisha nguvu zao kwa ajili ya kuhakikisha...
View ArticleMastaa wa Tanzania walivyowasili uwanja wa Jamuhuri Dodoma leo
Mastaa vijana wa Tanzania kutoka kwenye muziki, movie na sehemu nyingine wakiwemo mastaa wa soka wameungana pamoja na kutumia ushawishi wao kuonyesha kwamba wakiamua inawezekana. Tayari walishaifanya...
View ArticleBaada ya Closer na Come Over…hii ni mpya kutoka kwa Vanessa Mdee.
Hii ndiyo teaser/ jingle ya wimbo mpya wa Vanessa Mdee pamoja na artwork yake. V Money amerelease wimbo huu kwenye kipindi cha XXL cha ambapo waandishi wa nyimbo hii ni Barnaba, Vanessa Mdee, Noel...
View ArticleKilichojiri kwenye mechi ya England vs Italy, wafungaji na matokeo hapa
Michuano ya kombe la dunia imeendelea tena jana usiku kwenye mechi nne kuchezwa. England ilikipiga na Italy kwenye mchezo ulioanza saa saba ya usiku kwa saa za Afrika mashariki. Matokeo ya mchezo huo...
View ArticleLeo magazetini June 15 2014 Michezo na Hardnews
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews kurasa...
View ArticleFull time ya Ivory Coast vs Japan, wafungaji na matokeo haya hapa
Bara la Afrika leo alfajiri limetupa karata yake ya pili kwenye michuano ya kombe la dunia, kwenye mchezo kati ya Ivory Coast vs Japan. Mchezo huo ambao ulianza majira ya saa 10 usiku, umeisha kwa...
View ArticleMotisha kwa timu ya taifa Kenya,yalipiwa kutazama kombe la dunia.
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameilipia timu ya taifa ya nchi hiyo kwenda nchini Brazil kwa ajili ya kuangalia mechi za Kombe la dunia ili kuwahamasisha kufuzu michuano hiyo hapo baadae. Rais Kenyatta...
View ArticleTaleban lawakata vidole raia waliopiga kura kama adhabu.
Maafisa nchini Afghanistan wanasema kuwa watu 11 wamefariki akiwemo mwangalizi mmoja wa uchaguzi baada ya gari lao kaskazini mwa taifa hilo kukanyaga bomu lililotegwa barabarani siku moja tu baada ya...
View Article