Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Nguruwe mwenye akili, Ona alivyotoroka kuepuka kuchinjwa.

$
0
0

Nguruwe huyu mdogo hakuwa na nia kabisa ya kufika sokoni kwa ajili ya kuuzwa na kuchinjwa na badala yake akaamua kutumia mbinu mbadala kutoroka kutoka kwenye gari iliyokuwa inatembea. Nguruwe huyo alikamatwa na kamera akifanya mbinu na hatimaye kufanikiwa kutoroka kutoka kwenye Lori kuepuka kuchinjwa. Kama ukiangalia Video hapo chini utaona alianza kwa kutoa kichwa...

The post Nguruwe mwenye akili, Ona alivyotoroka kuepuka kuchinjwa. appeared first on TZA.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles