Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Hii noma! Mfanyabiashara tajiri wa China ashtakiwa kwa kula nyama ya Chui watatu.

$
0
0

Mfanyabiashara mmoja tajiri raia wa China amekutwa na hatia ya kula Chui watatu ambapo amekiri kufanya kitendo hicho. Mwanaume huyo aliyejulikana kwa jina moja la Xu kutoka Kusini Magharibi mwa Jimbo la Guangxi, anadaiwa kuipenda ladha ya Chui hao pamoja na damu. Mwanaume hao alifanikiwa kununua Chui hao walioingizwa kimagendo na kundi la marafiki zake...

The post Hii noma! Mfanyabiashara tajiri wa China ashtakiwa kwa kula nyama ya Chui watatu. appeared first on TZA.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles