Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Motisha kwa timu ya taifa Kenya,yalipiwa kutazama kombe la dunia.

$
0
0

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameilipia timu ya taifa ya nchi hiyo kwenda nchini Brazil kwa ajili ya kuangalia mechi za Kombe la dunia ili kuwahamasisha kufuzu michuano hiyo hapo baadae. Rais Kenyatta amesema yeye pamoja na mke wake waliahidi kuipeleka timu hiyo baada ya kushinda katika moja ya michuano ya ndani ya nchi hiyo....

The post Motisha kwa timu ya taifa Kenya,yalipiwa kutazama kombe la dunia. appeared first on TZA.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles