Hatimaye baada ya subira ya miaka minne, wapenzi wa soka ulimwenguni kote leo wamepata ladha ya fainali za michuano ya kombe la dunia. Mchezo wa ufunguzi ulichezwa leo baina ya wenyeji Brazil dhidi ya Croatia, matokeo ni 3-1, Brazil wakianza vizuri michuano hiyo mbele ya Croatia. Magoli ya Brazil yamefungwa na Neymar, aliyefunga mawili, Oscar...
The post Full time ya Brazil vs Croatia. Matokeo na wafungaji haya hapa appeared first on TZA.