Hii ndiyo teaser/ jingle ya wimbo mpya wa Vanessa Mdee pamoja na artwork yake. V Money amerelease wimbo huu kwenye kipindi cha XXL cha ambapo waandishi wa nyimbo hii ni Barnaba, Vanessa Mdee, Noel Mkono. Producer ni Nahreel na unaweza kusikiliza kipande chake hapa. Ukitaka kusikiliza wimbo wote na kusoma lyrics zake fungua hapa –>...
The post Baada ya Closer na Come Over…hii ni mpya kutoka kwa Vanessa Mdee. appeared first on TZA.