Picha 11 za ajali iliyotokea Mchana wa March 21 kwenye kituo cha mabasi Ubungo
Hii ni ajali iliyotokea mchana wa March 21 nje ya gheti la kutokea kituo cha mabasi yaendayo mikoani[Ubungo Bus Terminal]na imehusisha lori lililofeli breki na kwenda kugonga magari 5,mpaka sasa idadi...
View ArticleIkiwa leo ni miaka 3 tangu vifo vya wanamuziki wa 5 Star,hiki ndicho...
Leo ni kumbukumbu ya vifo vya wanamuziki wa 5 Star ambayo chanzo cha vifo hivyo ni ajali ya basi aina ya Coaster iliyokuwa na namba za usajili T 361 BGE iliyokuwa imebeba wanamuziki wa bendi hiyo ya...
View ArticleKuhusu picha za Snura anazoonekana yupo kwa Mganga wa Kienyeji,hii ni taarifa...
Siku chache zilizopita kupitia blogs na website mbalimbali zilisambaa picha zilizokuwa zikimuonyesha Snura akiwa kwa Mganga wa Kienyeji akiwa kama anapatiwa maagizo na mganga,ambapo kwa picha hizo zipo...
View ArticleRatiba ya Ligi kuu wikeindi hii: Fahamu Yanga, Simba, Azam wanakipiga na nani?
Yanga inaumana na Rhino Rangers katika moja kati ya mechi mbili za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) zitakazochezwa wikiendi hii katika miji miwili tofauti. Mechi hiyo itafanyika kesho (Machi 22 mwaka huu)...
View ArticleKuhusu mtandao wa twitter kufungiwa Uturuki.
Waziri mkuu Tayyip Erdogan wa Uturuki amezungumza katika mkutano wa hadhara wa uchaguzi kwamba anataka kuuondoa mtandao wa kijamii wa twitter katika nchi hiyo bila ya kujali mawazo ya jumuiya ya...
View ArticleTaarifa kuhusu kocha Simba kuongezewa mkataba na kuikataa klabu hii ya Kenya
Kocha mkuu wa Wekundu wa Msimbazi Simba Zdracko Logarusic amefikia makubaliano ya kuongeza mkataba na klabu hiyo utakaoendelea kumuweka Msimbazi kwa miaka mingine miwili. Katika makubaliano hayo...
View ArticleKama hukuisikiliza hotuba ya Rais Jakaya Kikwete leo March 21 kupitia Bunge...
Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete leo March 21 amelihutubia Bunge Maalum la Katiba baada ya kupata mwaliko wa Mwenyekiti wa Bunge hilo Mheshimiwa Samuel Sitta,ameongea vitu vingi sana ikiwa ni pamoja na...
View ArticleRobin Van Persie nje wiki 6 – hizi ndio mechi atazokosa
Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Robin van Persie ameripotiwa kwamba amepata majeruhi ya goti baada ya kuumia katika mchezo wa raundi ya pili wa hatua ya 16 ya ligi ya mabingwa wa ulaya...
View ArticleKurasa za mwanzo na mwisho Magazetini leo March 22 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania. Use Facebook to Comment on this Post The post Kurasa za mwanzo na mwisho...
View ArticleMatokeo ya Yanga vs Rhino Rangers ya Tabora
Klabu bingwa ya ligi kuu ya Vodacom Dar Young Africans leo imeendeleza ushindi katika mfululizo wa mechi za ligi kuu ya Vodacom ambapo imefanikiwa kuifunga Rhino Rangers ya Tabora 3-0 kwenye game...
View ArticleEti Mourinho alishangilia hivi kwenye chumba cha Wachezaji leo… (video)
Game ya leo ya Chelsea vs Arsenal imeisha kwa Chelsea kufunga ushindi wa goli sita kwa sifuri ambapo list ya wafungaji na mengine vipo kwenye post iliyopita. Wakati game hii ikiendelea Football Funnys...
View ArticleLeo naona ni siku ya sita… matokeo ya Cardiff vs Liverpool yako hapa
Baada ya Chelsea kuifunga Arsenal 6-0, muda mfupi baadae haya ndio matokeo ya Cardiff vs Liverpool leo March 22 2014. Use Facebook to Comment on this Post The post Leo naona ni siku ya sita… matokeo ya...
View ArticleBaada ya Chelsea na Liverpool kushinda sita, hizi ndizo walizoshinda Man united.
Baada ya watani wao wa jadi kupata kipigo cha magoli sita kutoka kwa Chelsea, Man united wamemaliza siku yao ya jumamosi kwa ushindi huu dhidi ya West Ham United. Use Facebook to Comment on this Post...
View ArticleSaa chache baada ya hotuba ya Rais Kikwete,hiki ndicho walichokisema vyama...
Wenyeviti wa vyama vya Upinzani kutoka Chadema,Chama cha Wananchi (CUF) na Chama cha NCCR-Mageuzi, jana usiku March 21 mara baada ya hotuba ya Rais March walikutana ili kutoa kauli ya pamoja kutokana...
View ArticlePicha 15 za harusi ya Paul wa P Square na Anita Isama
Baada ya pacha wake kufunga ndoa, hivi sasa ni zamu ya Paul Okoye ambaye amefunga ndoa ya kimila na mchumba wake wa muda mrefu Anita Isama. Paul na Anita wana mtoto wa kiume na harusi yao imehudhuriwa...
View ArticleUnaambiwa Chris Brown hali wala halali huko jela.
Chris Brown baada ya kuvunja sheria za rehab alifukuzwa na baadae kukamatwa, hivi sasa amewekwa jela kwa muda wa mwezi mmoja. Mtandao mmoja wa huko Marekani umeripoti kwamba Chris Brown yupo kwenye...
View ArticleKurasa za mwanzo na mwisho kwenye magazeti ya leo tarehe 23/3/2014
Hivi ndivyo zinavyoonekana kurasa za mwanzo na mwisho kwenye magazeti yaliyotoka leo Jumapili tarehe 23/3/2014 Use Facebook to Comment on this Post The post Kurasa za mwanzo na mwisho kwenye magazeti...
View ArticleMauaji yafanyika kanisani huko Mombasa.
Leo hii jumapili tarehe 23/3 watu kadhaa ambao wanasadikika kuwa ni magaidi wamevamia kanisa moja linalojulikana kwa jina la Joy Jesus Church huko Mombasa na kuanza kupiga risasi kanisani hapo....
View ArticleVipande vya video kutoka kwa @ommydimpoz aki-shoot video na akirekodi wimbo...
Ommy Dimpoz anaendelea kutoa picha na vipande vya video alipokuwa London aki-shoot video na director Moe Mussa. Kwenye hii video unaweza kuona camera walizokuwa wanazitumia ku-shoot video hii, pia...
View ArticleSimba v/s Coastal Union,Azam v/s Jkt Oljoro matokeo yake yapo hapa.
Mechi kati ya Simba na Azam imekamilika kwenye uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam ambayo imekamilika kwa ushindi wa Coastal Union walioshinda 1-0 dhidi ya timu ya Simba. Simba imepoteza mchezo huu...
View Article