Ommy Dimpoz anaendelea kutoa picha na vipande vya video alipokuwa London aki-shoot video na director Moe Mussa. Kwenye hii video unaweza kuona camera walizokuwa wanazitumia ku-shoot video hii, pia video mbili utawaona Ommy Dimpoz,Diamond na Victoria Kimani walivyokuwa wanarekodi wimbo wiki chache zilizopita. Use Facebook to Comment on this Post
The post Vipande vya video kutoka kwa @ommydimpoz aki-shoot video na akirekodi wimbo na @VICTORIA_KIMANI na @diamondplatnumz appeared first on TZA.