Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete leo March 21 amelihutubia Bunge Maalum la Katiba baada ya kupata mwaliko wa Mwenyekiti wa Bunge hilo Mheshimiwa Samuel Sitta,ameongea vitu vingi sana ikiwa ni pamoja na suala la Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kwa ajili yako mtu wangu wa nguvu nimekurekodia hotuba yote na kukuwekea hapa endelea kuwa karibu na...
The post Kama hukuisikiliza hotuba ya Rais Jakaya Kikwete leo March 21 kupitia Bunge la Katiba,ipo hapa yote. appeared first on TZA.