Wenyeviti wa vyama vya Upinzani kutoka Chadema,Chama cha Wananchi (CUF) na Chama cha NCCR-Mageuzi, jana usiku March 21 mara baada ya hotuba ya Rais March walikutana ili kutoa kauli ya pamoja kutokana na hotuba ya ufunguzi wa Bunge kwa maelezo kuwa tayari Rais amevuruga mchakato mzima wa kupata Katiba Mpya. Wakati viongozi hao wakikutana Mwenyekiti...
The post Saa chache baada ya hotuba ya Rais Kikwete,hiki ndicho walichokisema vyama vya upinzani. appeared first on TZA.