Leo ni kumbukumbu ya vifo vya wanamuziki wa 5 Star ambayo chanzo cha vifo hivyo ni ajali ya basi aina ya Coaster iliyokuwa na namba za usajili T 361 BGE iliyokuwa imebeba wanamuziki wa bendi hiyo ya Taarabu ya 5 Star wakitokea Kyela-Mbeya kueleka jijini Dar. Ajali hiyo ilitokea March 21 2011 majira ya saa...
The post Ikiwa leo ni miaka 3 tangu vifo vya wanamuziki wa 5 Star,hiki ndicho alichokiandika Hammer Q. appeared first on TZA.