Magazeti ya Tanzania leo February 26 2014.
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania. Use Facebook to Comment on this PostThe post Magazeti ya Tanzania leo...
View ArticleSikiliza hapa Magazeti yakisomwa Redioni.
Kuanzia Juma tatu hadi Ijumaa kupitia millardayo.com inakupa nafasi ya kusikiliza magazeti hayo yakisomwa moja kwa moja kutoka kwenye kipindi cha Power Breakfast kwenye kisehemu cha Kuperuzi na...
View ArticleKuwa wa mwanzo kuusikiliza hapa Wimbo mpya wa Barnaba Jasho la Mnyonge.
Huu ni wimbo mpya wa Barnaba ambayo tulikuwekea kipande chake miezi kadhaa iliyopita,leo inatoka rasmi na Barnaba katubariki tuwe wa kwanza kukupatia wewe mtu wetu wa nguvu,hii inaitwa Jasho la Mnyonge...
View ArticleTazama mabao saba ya mchezo wa Real Madrid vs Schalke
Klabu ya Real Madrid imeweka mguu mmoja katika hatua ya robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa ulaya baada ya kuishindilia bila huruma Schalke kwa mabao 6-1 katika mchezo uliomalizika hivi punde...
View ArticleMagoli na matokeo ya mchezo wa Galatasary vs Chelsea
Chelsea imekuwa timu ya kwanza ya ligi kuu ya England kuweza kufunga goli katika hatua ya 16 ya michuano ya UEFA Champions League baada ya kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Galatasary. Goli la Chelsea...
View ArticleMagazeti ya leo February 27 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania. Use Facebook to Comment on this PostThe post Magazeti ya leo February 27...
View ArticleSikiliza Magazeti yakisomwa Redioni.
Naomba utumie hizi dakika 18 za kusikiliza kilichoandikwa kwenye kurasa za magazeti mbalimbali ya leo uchambuzi huu unafanywa kupitia kisehemu cha Kuperuzi na Kudadisi ndani ya Power Breakfast na...
View ArticleKama uko Dar na unapita barabara ya Mandela hii ni nzuri kwako kutoka NMB.
Benki yako ya NMB inazidi kukudhihirishia Mtanzania mwenzangu kuwa wao ndio Benki pekee yenye matawi mengi na inayozidi kufungua mengine ili kuhakikisha hupati taabu,hii ni moja kati ya good news...
View ArticleWale wa 50 Cent, kuna video yake ya ‘funeral’ hapa
Ni zaidi ya wiki moja imepita toka rapper 50 Cent alitangaza kuondoka kutoka lebo iliyochangia uzito wa jina lake kwenye hiphop Shady/aftermath via Interscope Records na tayari ameshaachia new music....
View ArticleThe Game aweka wazi kuhusu uhusiano wake na Kim & Khloe Kardashian
Khloe Kardashian na The game walijiachia pamoja kwenye night club kiasi cha kuwapa watu mashaka kwamba wawili hao wapo kwenye uhusiano wa kimapenzi hivi sasa. Khloe alikuwa wa kwanza kukanusha...
View ArticleManeno ya Diamond Platnumz kuhusu wasanii wanaomtengenezea ugomvi.
Staa huyu wa ‘Number 1 rmx’ ft Davido ameiandika hii na kuisambaza kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii ya Instagram na facebook. Use Facebook to Comment on this PostThe post Maneno ya Diamond...
View ArticleEx-girlfriend wa Samuel Eto’o ashtua watu kuhusu umri wa mchezaji huyo.
“Tatizo la Chelsea ni kukosa wafungaji, nina Eto’o ambaye ana miaka 32 au labda 35 nani anayejua?”. Hiyo ilikua ni kauli ya kocha Jose Mourinho akimzungumzia Samuel Etoo na baadae mpenzi wa zamani wa...
View ArticleP Square kuanzisha series yao mpya – The Alingo’s
Project hii imefanyiwa kazi kwa muda wa miaka 5 na mwaka huu ipo tayari kuanza kuonyeshwa, taarifa hii imetoka kwenye post ya Peter Okoye. The Alingo’s ni TV series ya katuni ambayo stars wake ni Peter...
View ArticleTaarifa kuhusu kocha wa Taifa Stars kuachishwa kazi
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen wamekubaliana kuvunja mkataba katika makubaliano ambayo ni siri kwa pande zote mbili. Uamuzi huo umetangazwa leo...
View ArticleNa huu ndio wimbo mpya wa Shetta akiwa na Diamond – Kerewa.
Hii ngoma imetoka leo 27/2 na imefanywa na producer Sheddy Clever. Nafasi yako ya kuisikiliza na ku-download ndiyo hii. Use Facebook to Comment on this PostThe post Na huu ndio wimbo mpya wa Shetta...
View ArticleSikiliza Hekaheka ya leo hapa February 27.
Baada ya kusikika sehemu mbalimbali wanawake wakionewa hii imekua tofauti baada ya huyu baba mwenye familia yake anayenyanyaswa na mkewe,kisa na sababu vyote vipo hapa,ingawa nimechelewa kukuwekea...
View ArticleUmesikia alichofanyiwa Traffic na wachezaji wa Mbeya City?kipo hapa.
Mara nyingi hutokea pale wachezaji wanapofungwa kwenye moja ya mechi zao kuumia na kuwa na hasira,hii imetokea kwa wachezaji wa timu ya Mbeya City kumfanyia kitu kisichofaa traffic wa mkoa wa Iringa na...
View ArticleUdambwi dambwi wa Mbwiga upo hapa wa February 27.
U Huu ni udambwi dambwi unaoletwa kwako na Mbwiga wa Mbwiguke kupitia Sports Extra ya Clouds Fm,Hapa anaizungumzia mechi ya African Sports na Rtc ya Kigoma,mchezo uliochezwa kwenye uwanaja wa Lake...
View ArticleKurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo February 28 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania. Use Facebook to Comment on this PostThe post Kurasa za mwanzo na mwisho...
View ArticleHii ndiyo sifa ya Wanaume anaowapenda Wema Sepetu.
Miongoni mwa mastar wa Tanzania wenye ushawishi mkubwa ni pamoja na Wema Sepetu ambaye pia aliwahi kuwa Miss Tanzania 2006 ambaye kwa sasa anaendesha kampuni yake binafsi iitwayo Endless Fame...
View Article