Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Kuwa wa mwanzo kuusikiliza hapa Wimbo mpya wa Barnaba Jasho la Mnyonge.

$
0
0

Huu ni wimbo mpya wa Barnaba ambayo tulikuwekea kipande chake miezi kadhaa iliyopita,leo inatoka rasmi na Barnaba katubariki tuwe wa kwanza kukupatia wewe mtu wetu wa nguvu,hii inaitwa Jasho la Mnyonge imefanywa na Tuddy Thomas pale Soround Sound Studio. Bonyeza play kuusikiliza. Use Facebook to Comment on this Post

The post Kuwa wa mwanzo kuusikiliza hapa Wimbo mpya wa Barnaba Jasho la Mnyonge. appeared first on TZA.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles