Chelsea imekuwa timu ya kwanza ya ligi kuu ya England kuweza kufunga goli katika hatua ya 16 ya michuano ya UEFA Champions League baada ya kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Galatasary. Goli la Chelsea lilifungwa na Torres wakati Galatasary walisawazisha kupitia Aurelien Chedjou. Use Facebook to Comment on this Post
The post Magoli na matokeo ya mchezo wa Galatasary vs Chelsea appeared first on TZA.