Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

P Square kuanzisha series yao mpya – The Alingo’s

$
0
0

Project hii imefanyiwa kazi kwa muda wa miaka 5 na mwaka huu ipo tayari kuanza kuonyeshwa, taarifa hii imetoka kwenye post ya Peter Okoye. The Alingo’s ni TV series ya katuni ambayo stars wake ni Peter na Paul wakiwa kwenye muonekano wa katuni. Project hiyo inasimamiwa na P Classic entertainment kampuni ambayo ipo chini ya...

The post P Square kuanzisha series yao mpya – The Alingo’s appeared first on TZA.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles