U Huu ni udambwi dambwi unaoletwa kwako na Mbwiga wa Mbwiguke kupitia Sports Extra ya Clouds Fm,Hapa anaizungumzia mechi ya African Sports na Rtc ya Kigoma,mchezo uliochezwa kwenye uwanaja wa Lake Tanganyika Kigoma,kuna mikwara waliionyesha Rtc. Sikiliza kupitia 89.3 Clouds Fm kigoma. Bonyeza play kusikiliza. Use Facebook to Comment on this Post
The post Udambwi dambwi wa Mbwiga upo hapa wa February 27. appeared first on TZA.