Baada ya kusikika sehemu mbalimbali wanawake wakionewa hii imekua tofauti baada ya huyu baba mwenye familia yake anayenyanyaswa na mkewe,kisa na sababu vyote vipo hapa,ingawa nimechelewa kukuwekea lakini nimeona siku isibadilike kabla hujaisikiliza hii heka heka ya leo February 27. Sikiliza kupitia 88.4 Clouds Fm Mtwara. Bonyeza play kusikiliza. Use Facebook to Comment on this...
The post Sikiliza Hekaheka ya leo hapa February 27. appeared first on TZA.