Ni rufaa ya hukumu ya Pistorius na alichokisema baba yake leo Desemba 10
Mahakama nchini Afrika Kusini imemruhusu kiongozi wa mashitaka kukata rufaa dhidi ya kosa alilopatikana nalo mwanariadha Oscar Pistorius la tuhuma za kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp. Kesi hiyo, sasa...
View ArticlePeter Msechu yuko hapa tena na hii video mpya ‘Nyota’
Hii ni video mpya kutoka kwa Peter Msechu wimbo unaitwa Nyota aliomshirikisha Amini umefanywa katika studio za C9 Record. Itazame hapa Kila kinachonifikia ni halali yako kukipata mtu wangu! ili niwe...
View ArticleFid Q, Wema Sepetu, bondia Floyd Mayweather na Diamond wamehusika kwenye 255...
Mwana Hiphop Fid Q amesema yuko kwenye mkakati wa kufanya project ya “Tuonane Januari” ambayo lengo lake ni kuwakumbusha vijana na watu wote kuhusu majukumu yao na kangalia changamoto ambazo hujitokeza...
View ArticleIko hapa U Heard ya leo ambayo Gossip Cop ‘ametoboa’ kuhusu msanii Linex
Heard ya leo Desemba 10 inamhusu msanii ambaye alikuwa Kigoma kwenye show na akaazima hela akiahidi kwamba ataituma akifika Dar lakini baadaye hakumtumia mtu aliyemuazima pesa hiyo na alipompigia simu...
View ArticleNinayofuraha kukuletea hii video mpya ya Nikki wa pili ft. G Nako & Ben Pol
Ni muunganiko wa wakali kutokea Arusha na mkali kutokea Dodoma Ben Pol ambao baada ya watu kuwasikia kwenye audio na hamu ya kuwaona pamoja kwenye video…..ndio hii imetoka ‘Staki Kazi’ Ukishaitazama...
View ArticleNani Mkali kati ya Ronaldo na Messi?
Upinzani kati ya wachezaji wawili nyota duniani Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ni kitu kinachozungumzwa sana kwenye vyombo vya habari . Wachezaji hawa wamekuwa na upinzani mkubwa kutokana na ubora...
View ArticleMchezaji mwenye Tattoo nyingi kuliko wote.
Wacheza soka wamekuwa na kawaida ya kupenda Sanaa ya kuchora miili yao ambapo mpaka leo hii asilimia kubwa ya wachezaji hawa hasa wale wanaoonekana sehemu mbalimbali barani ulaya wakicheza soka la...
View ArticleUmeisikia hii bukta yenye thamani ya milioni 80?
Siku zote ubunifu umeonekana kuwa kitu muhimu kwenye mambo mablimbali hususan michezo ambako watu huwekeza fedha nyingi sana kwenye kutengeneza taswira za wanamichezo ambazo huuzika kama bidhaa ....
View ArticleUnazijua Rekodi kubwa zilizovunjwa kwenye mtandao wa Twitter Duniani kwa...
Mwaka 2014 unaelekea kuisha, moja ya vitu ambavyo tunavitazama zaidi kwenye mwezi huu Desemba ni zile rekodi kubwa ambazo zimetokea ndani ya mwaka huu. Unajua mitandao ya kijamii imekuwa inazidi...
View ArticleDunia na maajabu yake… Hii ni ya gari kutembea kwa tairi mbili tu!
Huenda wewe ukawa mmoja ya watu ambao wanaogopa michezo ya hatari. Ipo michezo ambayo hata ukiona mtu anaifanya nafsi yako inakiri kwamba kamwe hauwezi kuifanya. Hii nmeikuta Youtube, jamaa wa Saudi...
View ArticlePicha 20 kutoka kwenye mapokezi ya Idris uwanja wa ndege JNIA Dar es Salaam
Mwakilisha kutokea Tanzania ambaye pia ni mshindi wa shindano la Big Brother Africa 2014,Idris Sultan leo Des 10 amepata mapokezi ya aina yake kutoka kwa ndugu,jamaa,marafiki na mashabiki wa shindano...
View ArticleUsiku wa UEFA Champions league ulikuwa hivi.
Hatua ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya ilimalizika usiku wa jumatano ikishuhudia michezo nane ambayo ilipigwa kwenye viwanja tofauti barani humo . Katika michezo iliyopigwa siku...
View ArticleUnajua nini alichoamua Girlfriend wa Ray J baada ya mahusiano yao kuvunjika?...
Mkali wa muziki wa RnB na Hip Hop nchini Marekani William Ray maarufu kama Ray J ameamua kuachana na mpenzi wake Princess Love lakini kitendo hicho kilimkasirisha mwanadada huyo na kuamua kutaka...
View ArticleChege, Idris, Happiness Watimanywa na Dr. Dre wamehusika kwenye 255 ya leo...
Chege, Temba na Madee wamerejea kutoka Afrika Kusini ambako wamerekodi nyimbo tatu studio ya Uhuru pamoja na video mbili kitu kilichowafanya wachukue muda mwingi zaidi kukamilisha kazi hiyo na kuongeza...
View ArticleU Heard ya leo December 11 nimekuwekea hapa, kama imekupita unaweza kuisikiliza
Nimekuwa nikikuwekea U Heard kila siku kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa, leo nimekuwekea pia hapa. Inahusu msanii Lulu ambaye kwa mujibu wa sauti ambayo imerekodiwa wakati mazungumzo hayo yanaendelea ni...
View ArticleManeno ya Idris kuhusu alichokiandika Davido baada ya ushindi wa Tanzania BBA
Jumapili ya Des 7 ni siku iliyochukua headline kwenye mitandao baada ya Davido kuwakwaza watanzania kwa kile alichokiandika kwenye twitter.Baada ya Mwakilishi kutokea Tanzania Idris Sultan kutangazwa...
View ArticlePale ambapo operator anajikuta akiweka picha za utupu katika bango uwanjani
Ajali popote, huyu jamaa amepata ajali kazini tena huenda katika mazingira ambayo hakuwahi kutarajia. Kutokana na sheria kali za China, hii haikuwa makusudi lakini kwa sababu tayari kashafanya kosa...
View ArticleNakukaribisha kuisikiliza hii single mpya ya Joh Makini ft G Nako- XO
Hii ni single mpya ya msanii wa Hip Hop kutokea 87.9 (ArushaCloudsFM) mwamba wa Kaskazini Joh Makini wimbo unaitwa XO akiwa amemshirikisha G Nako. Isikilize hapa mtu wa nguvu kisha usisahau...
View ArticleMambo matano aliyoyasema Salim Kikeke kwenye Jahazi la Clouds FM jana...
Show ya Jahazi iliyoruka siku ya jana December 10 kulikuwa na ugeni kutoka Shirika la Utangazaji Uingereza BBC ambapo Mtangazaji Salim Kikeke alikuwepo kwa ajili ya mahojiano kwenye kipindi hicho....
View ArticleHawa ndio punda waliobebeshwa ujumbe na wanaharakati na kuachwa katikati ya Jiji
Kenya ni moja ya nchi ambazo huwa zinakaa kwenye headlines ya kuwa na story kubwa Afrika Mashariki, ya leo inahusu punda waliobebeshwa ujumbe maalumu na kuachwa katikati ya jiji la Nairobi. Desemba 11...
View Article