Upinzani kati ya wachezaji wawili nyota duniani Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ni kitu kinachozungumzwa sana kwenye vyombo vya habari . Wachezaji hawa wamekuwa na upinzani mkubwa kutokana na ubora wao hali inayosababisha ubishi wa nani mkali kati yao kuwa mkubwa sana kila mara unapotokea . Kila mmoja kati ya wachezaji hawa ana rekodi ya...
The post Nani Mkali kati ya Ronaldo na Messi? appeared first on TZA_MillardAyo.