Show ya Jahazi iliyoruka siku ya jana December 10 kulikuwa na ugeni kutoka Shirika la Utangazaji Uingereza BBC ambapo Mtangazaji Salim Kikeke alikuwepo kwa ajili ya mahojiano kwenye kipindi hicho. Aliaanza kwa kuelezea kuhusu namna ambavyo BBC wanapata habari kutoka maeneo mbalimbali duniani; “Shirika la Utangazaji la BBC kimataifa ndio lenye waandishi wa habari wengi zaidi...
The post Mambo matano aliyoyasema Salim Kikeke kwenye Jahazi la Clouds FM jana December 10 appeared first on TZA_MillardAyo.