Mwana Hiphop Fid Q amesema yuko kwenye mkakati wa kufanya project ya “Tuonane Januari” ambayo lengo lake ni kuwakumbusha vijana na watu wote kuhusu majukumu yao na kangalia changamoto ambazo hujitokeza mwisho wa mwaka na mwanzo wa mwaka pamoja na namna ya kukabiliana nazo. Staa wa Bongo Movie Wema Sepetu yuko nchini Ghana ambako anaandaa...
The post Fid Q, Wema Sepetu, bondia Floyd Mayweather na Diamond wamehusika kwenye 255 ya leo Desemba 10 appeared first on TZA_MillardAyo.