Heard ya leo Desemba 10 inamhusu msanii ambaye alikuwa Kigoma kwenye show na akaazima hela akiahidi kwamba ataituma akifika Dar lakini baadaye hakumtumia mtu aliyemuazima pesa hiyo na alipompigia simu alipokea akamjibu kwamba yuko location ana shoot video. Baada ya Soudy Brown kumtafuta msanii huyo Linex, amesema kwamba ni kweli aliazimwa pesa na jamaa huyo...
The post Iko hapa U Heard ya leo ambayo Gossip Cop ‘ametoboa’ kuhusu msanii Linex appeared first on TZA_MillardAyo.