Mahakama nchini Afrika Kusini imemruhusu kiongozi wa mashitaka kukata rufaa dhidi ya kosa alilopatikana nalo mwanariadha Oscar Pistorius la tuhuma za kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp. Kesi hiyo, sasa itaanza kusikilizwa katika mahakama ya juu zaidi wakati upande wa mashitaka ukitaka Pistorius ahukumiwe kwa kumuua mpenzi wake kwa kukusudia. Jaji Thokozile Masipa, alisema hataruhusu rufaa...
The post Ni rufaa ya hukumu ya Pistorius na alichokisema baba yake leo Desemba 10 appeared first on TZA_MillardAyo.