Hii ni ya mzee anaehofia kaburi lake kuuzwa…
Katika hali isiyo ya kawaida mzee mwenye umri wa miaka 80 ameomba msaada wa serikali kuingilia kati na kuzuia mtoto wake kuuza shamba lake ambalo alilichimba zaidi ya miaka 35 iliyopita. Shamba lenyewe...
View ArticleAlichokiandika Zari instagram kuhusu video iliyovuja mitandaoni
Mfanya biashara kutokea Uganda,Zariah Tlale aka Zari The Boss ameingia kwenye scandal nzito katika kipindi hiki baada ya kile kinachosadikiwa ni mkanda wake wa ngono kuvuja kwenye mitandao. kupitia...
View Article2 Face kwenye TV yako tena na hii video mpya kafanya na jamaa wa Trinidad.
Wale fans wa nguvu wa mkali kutoka Nigeria, 2 Face Idibia kaileta zawadi nyingine ya video mpya kabla mwaka haujaisha ambapo millardayo.com imekusogezea akiwa kamshirikisha Manchel Montano ambae ni...
View ArticleMagazeti ya leo Desemba 6 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleHii ni ya yule mtu aliyekuwa anashikilia rekodi ya kuwa mtu mnene kuliko wote...
Rekodi mbalimbali zimekuwa zikivunjwa kila siku Duniani, siku chache zilizopita tuliisikia ile ya watu wawili waliovunja rekodi mbili kubwa ile ya mtu mfupi kuliko wote na mtu mrefu kuliko wote Duniani...
View ArticleHii ni Good News kuhusu usafiri wa anga Tanzania…
Hii ni moja ya habari nzuri kwa wale wote ambao wanatumia usafiri wa anga kwa Tz ndani ya mwaka 2014 Watu wengi wamekuwa watumiaji wa usafiri wa anga Tanzania kwa kipindi cha miaka ya hivi karibuni...
View ArticleRapper mwingine wa TZ aliyetunukiwa shahada ya kwanza chuo kikuu
Rapper kutokea Unity Entertainment Stereo ambaye ameachia wimbo wake uitwao ‘Wako’ aliomshirikisha muimbaji wa Kenya,Victoria Kimani leo Des 6 ameongezewa CV yake ya Elimu baada ya kutunukiwa shahada...
View ArticleUjumbe mwingine alioandika Happiness Watimanywa, mwakilishi wa Tanzania...
Mshindi wa Taji la Miss Tanzania 2013 ambaye pia ameshiriki mashindano ya Miss World mwaka 2014, Happiness Watimanywa ameandika ujumbe kupitia Facebook na Twitter. Katika ujumbe huo ameonyesha kufurahi...
View ArticleEPL: Kilichoikuta Chelsea leo katika mechi vs Newcastle hiki hapa
</a Ligi kuu ya Uingereza imeendelea leo hii na viongozi wa ligi klabu ya Chelsea leo walisafiri hadi katika dimba la St James Park kucheza Newcastle United. Wakiwa hawajapoteza mchezo wowote katika...
View ArticleEPL: Mambo yazidi kuwa magumu kwa Wenger: Matokeo ya Stoke vs Arsenal haya hapa
Wakati akiwa kwenye shinikizo la kutakiwa kutimuliwa, mambo yamezidi kuwa magumu kwa kocha mkongwe zaidi kwenye ligi kuu ya England Arsene Wenger. Akiiongoza timu kwenda mpaka kwenye dimba la Brittania...
View ArticleMfahamu mwanariadha anayecheza kwenye EPL.
Mchezo wa soka kwa miaka ya karibuni umekuwa ukibadilika kwa kasi huku ushindani wa mchezaji kwa mchezaji na timu dhidi ya timu nyingine ukizidi kuongezeka . Hali hii inamaanisha kuwa wachezaji ambao...
View ArticlePichaz kutoka kwenye Nyamachoma Festival ya Dar December 06.
Hili ni tamasha ambalo huusisha zaidi walaji mbalimbali wa nyama kukutana na kufurahia nyama mbalimbali ambazo huandaliwa na mabanda mbalimbali ikiwemo Nyama ya kuku, ng’ombe na mbuzi. Dec 06 jiji la...
View ArticleKuna kero unaipata kwenye usafiri kwenda Kigoma,Mwanza? Ipo taarifa nzuri leo
Yes, good news nyingine Tanzania. Katika ile ahadi ya jitihada za Serikali kupitia Wizara ya Uchukuzi kuboresha miundombinu za usafirishaji nchini, leo kuna taarifa nyingine nzuri juu ya kile ambacho...
View ArticleKurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo Desemba 7 2014
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleTaarifa nyingine kutoka Ikulu kuhusu Rais Kikwete leo Desemba 07
Tulisikia kwamba baada ya kufanyiwa upasuaji Marekani, Rais Kikwete alipewa masharti kadhaa na madaktari waliomfanyia upasuaji juu ya utaratibu wa kufanya katika kipindi cha miezi mitatu, ambapo moja...
View ArticleNimekuwekea hapa Stori kubwa muhimu kwenye Magazeti ya leo Tanzania Desemba...
HABARILEO Utekelezaji wa shinikizo la kuvuliwa madaraka kwa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospter Muhongo linaloendelea kutolewa na Wabunge na kwa baadhi ya wanasiasa kwa Rais Jakaya Kikwete...
View ArticleHistoria nyingine kubwa ya Tanzania imeandikwa fainali ya #BBAHotshots 2014
Leo ni siku ya 63 tangu yaanze mashindano ya Big Brother Africa, ndiyo siku ambayo imefanyika fainali ya #BBAHotshots kwa mwaka huu 2014. Labda nikukumbushe kwamba Tanzania ndiyo nchi pekee iliyokuwa...
View ArticleUmesoma makubwa yaliyoandikwa na Magazeti ya Tanzania leo Desemba 8 ? Yako hapa
millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headlines mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za...
View ArticleTuzo nyingine aliyoshinda Diamond Platnumz Nigeria.
Diamond Platnumz ameshinda tuzo nyingine ambayo hizi zilikua zikitolewa Lagos nchini Nigeria ambazo hizi hazikuwa na utaratibu kama wa tuzo zingine kwa kupiga kura. Baada ya kushinda tuzo hiyo ambayo...
View ArticlePost ya Davido iliyozua utata kwa wapenzi wa Muziki Afrika Mashariki.
Usiku wa December 07 Tanzania imechukua tena headline kwenye vyombo mbalimbali vya habari na hii ni baada ya Mtazania Idris kufanikiwa kushinda kwenye shindano la Big Brother Hot Shot 2014. Usiku huo...
View Article