Hii ni moja ya habari nzuri kwa wale wote ambao wanatumia usafiri wa anga kwa Tz ndani ya mwaka 2014 Watu wengi wamekuwa watumiaji wa usafiri wa anga Tanzania kwa kipindi cha miaka ya hivi karibuni ukilinganisha na miaka ya nyuma ilivyokuwa, lakini good news ya leo imeripotiwa na kituo cha ITV ambapo idadi ya mashirika ya...
The post Hii ni Good News kuhusu usafiri wa anga Tanzania… appeared first on TZA_MillardAyo.